Burudani

Hii ndiyo kauli ya mwisho ya wadhamini wa Tiwa Savage baada ya tetesi za kusaliti ndoa yake

Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.

Tiwa-Savage-Traditional-Wedding-Tee-Billz-TJ-Balogun-BellaNaija1-142

Baada ya ndoa ya Tiwa Savage kuendelea kuyumba kwa kutuhumiwa na mumewe, Tee Billz kutoka kimapenzi na Don Jazzy, Dr Sim na 2Face, kampuni ya Pepsi ambayo inamkataba na diva huyo kutoka lebo ya Mavin Record, Tiwa Savageimesema imesema bado itaendelea kufanya kazi na Tiwa.

Mkuu wa masoko wa kampuni hiyo ya Pepsi, Norden Thurston amesema kuwa Tiwa Savage bado ni Balozi wa Pepsi na uvumi wote unaoendelea kampuni Pepsi tumetupilia mbali.

Naye Mkurugenzi wa kinywaji cha Seven Up ambacho kinatengenezwa na kampuni ya Pepsi, Sunil Sawhney kupitia akaunti yake ya twitter aliandika: “@TiwaSavage @Pepsi_Naija I will like to clarify, that our relationship with @TiwaSavage remains as strong as ever #pepsi+Tiwa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents