Michezo

Haya ni matokeo ya mechi za Uefa za Jumanne hii

Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa wa Ulaya Uefa zilizo chezwa Jumanne, 14 Februari 2017, ikiwa ni raundi ya mtoano ya timu 16 kwa mechi za kwanza.

Matokeo haya hapa chini ya mechi za Jumanne, 14 Februari 2017

Benfica 1 Borussia Dortmund 0
Paris Saint Germain 4 Barcelona 0

Leo Jumatano, 15 Februari 2017 inaendelea kwa gemu mbili
Bayern Munich v Arsenal
Real Madrid v Napoli

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents