Michezo

Haya ndio ya majina matatu yaliobaki kuwania tuzo ya kocha bora wa Dunia mwaka 2016

Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA, wametangaza majina ya makocha watatu waliobaki katika kinyang’anyiro cha kuwania. Tuzo ya Kocha Bora wa Dunia mwaka 2016 ambapo mshindi atatangazwa Januari,9,2017 huko Zurich.

fifa

Haya ndio Majina ya makocha hao

1.Claudio Ranieri – Leicester

2.Fernando Santos – Portugal

3.Zinedine Zidane -Real Madrid

Kocha gani unaona anastahili kubeba tuzo hii andika komenti yako hapo chini

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents