Burudani

Haya ndio mambo ambayo Nameless wa Kenya hushindwa kufanya kutokana na kuwa maarufu

Maisha ya umaarufu yana raha na karaha zake, na faida na hasara zake.

Nameless nje

Katika vitu ambavyo watu maarufu kama wanamuziki na waigizaji huwa wanakosa ni uhuru wa kufanya mambo binafsi kama watu wa kawaida.

Nimetembelea ukurasa wa Instagram wa msanii wa Kenya, Nameless na kukutana na post yake akielezea jinsi alivyojisikia vizuri alipopata uhuru wa kufanya mambo ambayo huwa hawezi kuyafanya akiwa Kenya.

nameless

Nameless ambaye yuko Marekani kwenye show amepost picha hii na kuandika:

“The thing I love about travelling out of the country is that I can do simple things like seat on a bench in the park and just chill bila issues…In Kenya if I did this, people would be like “Nameless amechizi huko uhuru park, labda Wahu anamstress ama mziki imemulemea, naskia ameamza kuvuta drugs, alionekana uhuru park ana mawazo kibao”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents