Burudani

Hawa ni mastaa wa Bongo Fleva wanaowania Hipipo Awards 2017 Uganda

Alikiba, AY, Diamond, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Yamoto Band, Harmonize na Ommy Dimpoz wamechaguliwa kuwania tuzo za Hipipo Music Awards 2017 za Uganda.

Katika tuzo hizo Diamond ndio msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa katika vipengele vingi ambavyo ni vinne akifuatiwa na AY, Alikiba pamoja na Navy Kenzo ambao wote wamewekwa katika vipengele viwili huku waliobakia wakiwania tuzo hizo katika kipengele kimoja.

Tuzo hizo zinatarajia kutolewa Jumamosi ya Februari 4 ya mwaka huu katika ukumbi wa Kampala Serena Hotel.

Bonyeza hapa kutazama vipengele hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents