Diamond Platnumz

Hasheem Thabeet, Diamond na Wema Sepetu wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram

Baada ya Facebook na Twitter, Instagram ni mtandao wa kijamii nchini Tanzania wenye watumiaji wengi zaidi. Watu wengi huipenda Instagram kutokana na uwezo wake wa kupendezesha picha na kuwa na muonekano wa kuvutia zaidi.

page

Kama Instagram ingekuwa inapatikana kwenye simu za Blackberry, bila shaka mpaka sasa ungekuwa na watumiaji idadi sawa na waliopo kwenye Twitter.

Instagram ni mtandao unaopendwa zaidi na mastaa wa Tanzania ambapo unaweza kuwapata wengi zaidi huko kuliko Facebook ama Twitter. Hawa ndio mastaa wa Tanzania wenye followers wengi zaidi. Idadi hii ni kwa mujibu wa siku ya leo June 19.

Hasheem Thabeet
36,227

Diamond Platnumz
29,330

Wema Sepetu
13,352

Jokate Mwegelo
8,909

Elizabeth Michael Lulu
8,870

Vanessa Mdee
8,278

Flaviana Matata
7,683

Nancy Sumari
7,374

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents