Burudani
Happy bornday na Hongera JCB!!
Ikiwa leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, mtu mzima JCB anatarajia kumvisha pete mchumba wake Diana (anayeonekana kwenye picha) jioni hii mjini Arusha katika sehemu moja inayoitwa Pentagoni karibu na shule ya Kimandolu.
Happy Bornday bro na pia tunawatakia mafanikio mema katika maisha yenu mtakayoishi huko mbeleni hadi mfikie hatua ya kufunga pingu za maisha.
One