Burudani

Happy Birthday Mpoto

 

Leo ni sikukuu ya kuzaliwa ya Msanii na mtunzi wa mashairi maarufu Tanzania, Mrisho Mpoto.

Mpoto amejipatia umaarufu kwa kuwa msanii aliyeleta utofauti katika muziki kwa kuzungumza mashairi yake kwenye nyimbo na kusifika kwa kuwa na nyimbo zinazoielimisha jamii kuhusu mambo mengi nyeti.

Bongo 5 inamtakia Mpoto siku njema na baraka kwa siku za usoni.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents