Siasa

Happy Birthday Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Tarehe kama ya leo (October, 7) ni siku aliyozaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Bongo5 inaungana na maelfu ya wananchi waliomtakia maisha mema na wanaondelea kumpongeza kwa siku hii. Sisi tunamtakia maisha marefu na Mungu amjalie kuliongoza vema taifa letu.

Kupitia Twitter, Mheshimiwa Kikwete amewashukuru wote wanaoendelea kumtakia birthday njema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents