Burudani

Happy birthday

Happy birthday to Kali Ongala and DJ Fetty!!!

 

DJ Fetty wa Clouds FM ni mmojawapo wa DJs maarufu na wanaotamba nchini Tanzania wakati Kali Remmy Mtoro Ongala ni mmoja kati ya wachezaji wazuri wa mpira kutoka Tanzania. Amewahi kuchezea klabu nyingi sehemu mbalimbali. Katika klabu alizochezea ni Young Africans FC  klabu mashuhuri Tanzania, Kajumulo FC (Tanzania), Seattle Saints (Marekani), Seba United (Jamaika), Bradford City FC (Uingereza), Väsby United (Uswidi), na GIF Sundsvall (Uswidi) kwa sasa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents