Burudani

Hanscana adai ‘Moyoni’ ya Navy Kenzo ni video iliyomfungulia njia

Muongozaji wa video, Hanscana, ameitaja Moyoni ya Navy Kenzo kuwa ni video iliyomfungulia njia.

Hanscana na campos-5

Hanscana ameandika kwenye Instagram:

Is 1year of Moyoni video by NAVYKENZO Ilitoka 28 NOV 2014 Kuanzia hapo ndio maana nipo hapa. Video ilifanyika kwa changamoto nyiiiingi sana na kubwa zaidi Clip zote tulizoshoot 1st day zilipotea dah. Ilikuwa ni changamoto kubwa sana ut tukarudia kushoot tena na ikawa super zaidi hata ya iliyopotea. Nili edit 1st cut then nikawaonesha Aika na Nahreel. Hakuamini kama itakuwa video kubwa, aliambia hii video itakufanya uwe busy trust me, lol now finally AM BUSY .Hii video ilinipa xposure kubwa sana na ndo ikafanya nipate more deals mpaka nikachukuwa award 24MAY2015

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents