Burudani

Hakuna wa kuweza kumfananisha na Ngwea – TID

Msanii TID anasema mpaka sasa kwenye maisha yake ya muziki hajaona msanii ambaye ataweza kuchukua nafasi ya aliyekuwa mkali wa ‘free style’ bongo, Albert Mangwea, aliyefariki miaka mitatu iliyopita.

T.I.D MANGWEA

TID akijibu swali aliloulizwa na mtangazaji wa kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Sam Misago, aliyemuuliza iwapo kuna msanii yeyote anayefikia uwezo wa Ngwea.

‘What are u saying…! Ngwea!? Hakuna msanii anayeweza kumfikia Ngwea, that man was special, Ngwea alikuwa blessed! Halafu umfananishe na nani…Bill Nas anaweza kuwa a half of it lakini hawezi kuwa kama Ngwea, Ngwea can rap, Ngwea can sing, Ngwea can give u a melody..halafu umfananishe na mtu, hakuna wa kufanana naye, no one!”, alisikika TID akijibu.

Leo ni miaka mitatu tangu kifo cha rapper huyo aliyefariki nchini Afrika Kusini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents