Burudani

H.Baba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Tubebane’ aliotumia beat ya ‘Kimbiji’

H.Baba anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, ‘Tubebane’ ambapo wimbo huo umetengenezwa kwa kutumia beat ya wimbo ‘Kimbiji’ wa Bob Junior.

H.Baba akiwa na vijana wake

H.Baba ameiambia bongo5 kuwa kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya kazi hiyo ambayo itatoka baada ya kumalizika tu.

“Nipo kwenye maandalizi ya video yangu mpya na ya kwanza kwa mwaka huu,nataka mashabiki wangu waenjoy kwa kazi yangu mpya ambayo itakuwa tofauti sana. Kwanza beat nimetumia ya wimbo wa Kimbiji,na wimbo ni ule ambao ulivuja unaitwa ‘Tubebane’ na video wanafanya One Love chini ya Hyper,” amesema H.Baba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents