Umbea

Gumzo la jiji: Orijino Komedi maji shingoni??!!


Waigizaji wa Orijino Komedi inasadikiwa baada ya kumalizika kwa mkataba wao na TBC hali imekuwa tete katika kuongeza mkataba mpya katika stesheni hiyo.

Hata hivyo Bongo5 ilipojaribu kuwategea ili kuwauliza kwamba madai hayo ni ya kweli au laa, wamekuwa wakikata simu bila ya kujibu chochote jambo ambalo linaweza kuonyesha wazi kwamba maji yameshawafika shingoni.

Mwanzo katika mitandao yao waliandika hii ni likizo ya mwezi wa Januari, lakini hali imezidi kuwa tete kwa vile hadi mwezi huu vimekuwa vikirushwa vipindi vya zamani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents