Habari

Google kuongeza lugha zaidi za Afrika katika huduma yake ya kutafsiri lugha

Google imeomba msaada kutoka kwa watafsiri wa lugha za kiafrika ili kuboresha huduma yake ya kutafsiri lugha ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuongeza lugha mbalimbali kutoka mabara yote kwenye huduma zake za tafsiri za mtandaoni.

Google-Translate-Banner1-600x292

Hili ndio tangazo lililotolewa na Google kupitia blog yake wiki hii “Hello Africa, we need your help with evaluating translation quality for some of our ‘promising’ African languages,”.

Waombaji wanaombwa kutembelea links zilizotolewa katika blog ya Google na kujaza fomu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents