Burudani

Good Timing? Ali Kiba aonjesha kava la single yake mpya

Ali Kiba anakuja tena!!! Baada ya kusubiriwa kwa takriban miaka miwili, hitmaker huyo wa ‘Dushelele’, anatarajia kuachia ngoma mpya siku chache zijazo. Picha za kava linaloonekana kuwa ni la ngoma yake hiyo zimeenza kuonekana Jumatatu hii kwenye mtandao wa Instagram.

10561029_553979581372726_450520135_n

Ali Kiba ataachia ngoma hiyo katika kipindi ambacho amemake headlines kutokana na kauli iliyomlenga Diamond akisema kuwa hajachukua nafasi yake. Diamond amejibu kauli hiyo kupitia Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents