Burudani
Ghetto FM yatua Dar, itapatikana kupitia 94.5
Siku si nyingi mawimbi ya redio jijini Dar es Salaam yatakikaribisha kituo kipya cha redio kiitwacho Ghetto FM 94.5. Kituo hicho kina uhusiano na kituo cha Kenya cha Ghetto Radio.
Maandalizi ya ujio wa kituo hicho kipya cha redio jijini Dar yakiendelea