Burudani

G-Solo aja na barua ya mwalimu

G_SOLO

Mwanaharakati kutoka katika kundi la muziki wa kizazi kipya Vinega au ukipenda unaweza kuwaita Ant Virus, G-Solo ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Barua ya Mwalimu.



Hebu msikilize kisha ujue nini hasa anacholenga kwenye barua hiyoo…

G-Solo- Barua kwa mwalimu

{mmp3}G-solo-baruayamwalimu.mp3{/mmp3}

Pata new Track kutoka kwa Blaka feat Domo Kaya (Shamba la bibi)

{mmp3}Blaka-shambalabibi.mp3{/mmp3}

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents