Burudani

G-Nako azitaja single mbili atakazoziachia kesho

Msanii anayetokea Arusha na aliye chini ya kampuni ya Weusi, G- Nako ameongea na Bongo5 na kuzielezea kazi zake mpya atakazoziachia wiki hii.

Gnako Insta

“Ngoma ya kwanza inaitwa “Mavijanaa” ambayo nimemshirikisha Nick wa pili, producer ni Fundi Samwel,” G ameiambia Bongo5. “Ngoma nyingine nimemshirikisha Barnaba na Lord Eyes producer akiwa Chizan Brain. Hizi ni kazi za kama solo artist lakini zikiwa zinasimamiwa na kampuni ya Weusi na video pia ipo tayari ya Mavijanaa ni muda tu wakupanga itoke lini.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents