Burudani

Future arudi tena kwenye mtandao wa Instagram

Baada ya Future kuanza mwaka 2017 kwa kufuta picha zake zote zilizokuwepo kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram na kususa kuutumia kabisa mtandao huo hatimaye amerudi tena.

Rapper huyo amerudi kwenye mtandao huo kwa kishindo zaidi kwa kuonyesha mambo atakayoyafanya mwaka huu ikiwemo ziara yake aliyoipa jina la ‘No Body Safe Tour’.

Mpaka sasa staa huyo wa Marekani amepost picha sita kwenye mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents