Burudani

Future alikuwa akichepuka na ‘stylist’ wake, Ciara adaiwa kuvunjwa moyo ‘mno’

Ciara anadaiwa kuvunjika moyo kupitia kiasi baada ya kubaini kuwa baba wa mwanae na mchumba wake Future alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine.

ciara14f-2-web

Mbaya zaidi ni kuwa Future anadaiwa kuwa na uhusiano na stylist wake, Tyrina Lee.

Chanzo kimoja kimeiambia E! News kuwa tangu kuachana na Future, Ciara ameamua kukaa ndani mara nyingi na hapendi kuzungumzia suala hilo.

“Ana wakati mgumu. Amefedheheshwa na ana hasira,” kilisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents