Burudani

Future akiri kuwa na furaha zaidi baada ya kuachana na Ciara

Rapper Future amesema maisha yanaendelea na ana furaha tele baada ya kuachana na mzazi mwenzake, Ciara aliyedumu naye kwa mwaka na nusu na hadi kumchumbia.

“Nahisi kama kila kitu kilitokea kwa sababu,” rapper hiyo aliiambia Billboard. “Nina furaha na maisha sasa, hata baada uhusiano wangu kufa.”

Hata hivyo anasema yeye na Ciara hawana tena ukaribu wowote na hilo halimsumbui. Future na Ciara walichumbiana mwaka 2013, lakini uchumba ulikufa mwaka uliofuta kutokona na tetesi za michepuko.

Walifanikiwa kupata mtoto wa kiume mwenye miaka miwili sasa, Future Zahir Williams.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents