Burudani

Frank Ocean abadili jina lake kisheria

Frank Ocean amelifanya jina hilo kuwa lake kisheria.

frank-time

Kwa mujibu wa TMZ, Ocean amebadili jina lake kutoka Christopher Edwin Breaux ambalo ndilo alilozaliwa nalo na sasa atajulikana kwa jina la muziki, Frank Ocean.

Ocean alikuwa abadili jina lake tangu mwaka jana lakini jaji wa Los Angeles alichelewesha mchakato hadi pale aliposhughulikia kusitishwa kwa leseni yake ya udereva.

Muimbaji huyo mwenye miaka 27 anatarajia kuachia album yake, Boys Don’t Cry July mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents