Habari

First Lady wa zamani wa Kenya, Lucy Kibaki afariki dunia

First Lady wa zamani wa Kenya, Lucy Kibaki amefariki dunia Jumanne hii akiwa Uingereza.

Lucy-Kibaki-2

Taarifa ya Rais Uhuru Kenyatta imedai kuwa Mrs Kibaki alifariki akitibiwa katika hospitali ya Bupa Cromwell ya London.

“Her excellency has been unwell for the last one month and has been receiving treatment here in Kenya and subsequently in the United Kingdom,” yamesema maelezo hayo.

Mrs Kibaki alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Nairobi mwezi uliopita baada ya kutafuta matibabu katika hospitali ya Gertrude ya Muthaiga.

Ameacha watoto wanne, Judy Wanjiku, Jimmy Kibaki, David Kagai na Tony Githinji.

Alizaliwa miaka 1940s.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents