Bongo Movie

Filamu ya Chege na Temba kuonyesha dakika18 Maisha Club

temba_na_chege
Wanamuziki wawili Chege na Temba wanatarajia kuonyesha filamu yao  ya Kichwa Kinauma kwa muda wa dakika 18, siku ya uzinduzi wa wimbo huo ambao utafanyika katika ukumbi wa New Maisha Club  siku ya tarehe 4 jumapili ya mwezi wa kumi na mbili. Wanamuziki hao ambao wimbo huo wa Kichwa Kinauma ambao, wameimba kama kundi la Tmk Wanaume Family lililokuwa kimya si chini ya miaka mitatu.


Meneja wa kundi hilo Saidi Fella amesema baada ya uzinduzi huo, tarehe 9 ya mwezi huo huo, watakuwepo kwenye uzinduzi kama huo Mwanza katika club ya Villa Park.

Kichwa Kinaume-Tmk Family na Dogo Aslay

{mmp3}kichwakinauma-tmk.mp3{/mmp3}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents