Bongo Movie

Filamu ya Aunt Ezekiel ‘Scola’ yapigwa stop kuingia sokoni kutokana na kwenda kivyume na maadili

Baada ya bodi ya filamu nchini miezi kadhaa iliyopita kuizua fimu ya Sister Mary ya Ray isiingie sokoni kutokana na kulichafua kanisa katoliki, Aunt Ezekiel naye yamemkuta.

AuntyEzekiel

Kwa mujibu wa Global Publishers, filamu yake iitwayo Scola imezuiwa kuingia sokoni kutokana na kuwa na sehemu zinazodaiwa kuwa kinyuma na maadili ya Kitanzania.

Imedaiwa kuwa filamu hiyo imegundulika kuwa na matatizo hayo baada ya muigizaji huyo kuipeleka kwenye bodi hiyo ili ikaguliwe kabla ya kuingia sokoni na sasa amepewa kazi ya kuondoa vipande hivyo ili ihakikiwe tena kwa mara nyingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents