Burudani

Filamu mpya ya animation ‘Home’ aliyoingiza sauti Rihanna yaingiza dola milioni 102.2 weekend iliyopita

Filamu ya animation ambayo Rihanna ni miongoni mwa mastaa walioingiza sauti, Home, weekend iliyopita ilikamata nafasi ya kwanza kwenye box office nchini Marekani.

Filamu hiyo inayomhusu msichana aliyeigizwa kwa sauti na Rihanna imeingiza dola milioni 54 kwa mujibu The Hollywood Reporter.

Kwa nje ya Marekani, Home imeingiza dola milioni 48.2 na hivyo kuwa na jumla ya dola 102.2.

Kwenye filamu hiyo ya 3D Jennifer Lopez pia ameingiza sauti.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents