Habari

Fid Q azungumzia ishu ya Irene Uwoya kupenda wanaume wagumu, ampongeza (Video)

Baada ya malkia wa filamu nchini Irene Uwoya kutoa kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wagumu na kumtolea mfano Fid Q, rapper huyo amefunguka na kuzungumzia kauli ya muigizaji huyo.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Fid Q amedai yeye siyo mwanaume mzuri lakini ana good look.

“Mimi wakiitwa wanaume wabaya siwezi kwenda lakini pia wakiitwa mahandsome boy siwezi kwenda, lakini najijua mimi ni good look,” alisema Fid Q.

Pia rapper huyo amempongeza muigizaji huyo kwa jicho lake la kumuona na kumtolea mfano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents