Burudani

Fid Q aingizwa kwenye orodha ya jarida la ‘SA Hip Hop’ la wana hip hop bora 20 wa Afrika 2015

Fareed Kubanda aka Fid Q ameingia kwenye orodha ya wasanii 20 bora wa Hip Hop barani Afrika mwaka 2015 ya jarida la SA Hip Hop.

11381437_485490351618961_523648809_n

Fid amekamata nafasi ya 20.

“Kiukweli kama nimeweza kutusua kwenye hiyo top 20 bila ya kuwa na video zao, sijui itakuaje nikianza kuzitoa,” ameandika Fid kwenye Twitter. “Kuna umuhimu wa kutoa video nzuri.. Humbled.”

Hii ndio orodha nzima:

1.AKA – Afrika Kusini
2.Sarkodie – Ghana
3.Ice Prince – Nigeria
4.Cassper Nyovest – Afrika Kusini
5.M.I. – Nigeria
6.K.O. – Afrika Kusini
7.Manifest – Ghana
8.K’naan – Somalia
9.Zues – Botswana
10.Phyno – Nigeria
11.Olamide – Nigeria
12.Dee Money – Ghana
13.Octopizzo – Kenya
14.Tumi – Afrika Kusini
15.Stunner –Zimbabwe
16.Youssoupha – Congo
17.Dama Do Bling – Msumbiji
18. Fid Q – Tanzania
19.Cleo Ice Queen – Zambia
20.Cal Vin – Zimbabwe

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents