Burudani

Feza azungumzia Fiesta Moshi ‘Am very excited ni show yangu ya kwanza kubwa Tanzania

Feza Kessy anayetarajia kupanda kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa la Serengeti Festa 2014 Jumamosi hii mjini Moshi amedai kuwa mwenye furaha kwakuwa hiyo itakuwa show yake ya kwanza kubwa nchini Tanzania.
Fezza KESSY

Feza amesema amejipanga vizuri kufanya show hiyo huku akiwa na dancers wake.

“I am very excited,” amesema. “Festa ni show yangu ya kwanza kubwa Tanzania, watarajie watu kuwapa show nzuri. I am very excited kwa sababu ni show yangu ya kwanza kubwa Tanzania, Moshi is my home town, Moshi na Arusha ni home, watarajie great show. Mimi nilivyojipanga na nyimbo zangu ‘Amani ya Moyo’ na ‘My Papa’. Pia nitakuwa na dancers, sitaki kuwaambia kila kitu wasubirie kesho.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents