Michezo

Federer ajiweka fiti kwa michuano ya wazi ya Australia

Mcheza tenisi na bingwa mara 17 wa Grand Slam Roger Federer amepanga kujiweka sawa kwa ajili ya michuano ijayo ya wazi ya Australia baada ya kupata jeraha lilompata katika nusu ya msimu wake wa mwaka 2016.

_90914014_5bc1270e-9b62-4bf7-ad93-a88f81059f99

Federer mwenye umri wa miaka 35 alikua nje ya uwanja tangu mwezi Julai na mechi yake ya mwisho ilikua katika michuano ya nusu fainali ya Wimbeledon ambapo alishindwa na Milos Raonic.

Alifanyiwa upasuaji mwezi wa pili kabla ya tatizo la mgongo lililomuondoa katika michuano ya wazi ya Ufaransa.

Source: BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents