Burudani

Fat Joe na Remy Ma kuja na album ya pamoja

Fat Joe na Remy Ma wanatarajia kuja na album ya pamoja.

fat-joe-remy-ma

Wawili hao walikuwa wakiunda pia kundi la Terror Squad.

Joe aliiambia Hip Hop Wired kuwa album yao imeshakimilika.
Inasemekana kuwa tayari wameshafanya video kwa wimbo mmoja wa kwenye santuri hiyo.

Bado tarehe rasmi ya kutoka kwa kazi hiyo haijatangazwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents