Burudani

Fat Joe asaini na Roc Nation ya Jay Z

Rapper Fat Joe amejiunga na label ya Jay Z, Roc Nation.

Album yake na Remy Ma, Plata o Plomo itakuwa ya kwanza kutoka akiwa chini ya label hiyo.

Hapo awali, Joe na Hov walikuwa mahasimu wakubwa. Miaka ya 1990 ulitokea ugomvi kati ya kambi ya Terror Squad na Roc-A-Fella uliohusisha wasanii Cuban Link na Memphis Bleek.

Plata o Plomo inaingia sokoni Feb. 17.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents