Habari

Faraja Kotta azindua tovuti ya elimu ‘shuledirect.co.tz’

Aliyewahi kuwa mshindi wa Miss Tanzania kwa mwaka 2004, Faraja Kotta Nyalandu leo asubuhi amezindua tovuti yake maalum ambayo itajikita katika kusaidia kutoa mawazo mbadala katika kukabiliana na changamoto za kielimu kwa wanafunzi wa shule za upili lakini kwa O-Level.

Faraja Kotta
Faraja Kotta

Faraja alisema katika tovuti hiyo kutapatikana taarifa na habari za kielemu kwa wanafunzi kwa kuzingatia mfumo wa mtaala wa ufundishaji ambao umepitishwa, kuhakikiwa na kukubaliwa na wizara husika kama sehemu ya kuongeza chanzo ama vyanzo vya elimu Tanzania.

Waziri Philip Mulugo
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philip Mulugo

IMG_8953

IMG_8940

IMG_8937

IMG_8934

Faraja akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo
Faraja akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo

IMG_8929

Jacqueline Ntuyabaliwe alikuwepo kumuunga mkono Faraja
Jacqueline Ntuyabaliwe alikuwepo kumuunga mkono Faraja
Ally Remtullah na Khadija Mwanamboka kwa mbali
Ally Remtullah na Khadija Mwanamboka kwa mbali

IMG_8933

Kwa maneno yake anasema “vijana wa sasa wameamka na wameanza kukumbatia ama wamezoa matumizi ya teknolojia na hivyo itakuwa ni rahisi kwao kujifunza kwa kutumia mtandao huu ambao utatumia nyenzo na walimu wa shule zenye sifa Tanzania.

Aliendelea kwa kusema sababu kubwa ya kuzindua tovuti hii ni kuziba pengo la upatikanaji wa habari za kielimu ya upili na pia kuongeza maarifa, uwezo, ujuzi, kubadilishana mawazo kwa njia ya ki dijitali na kurahisisha mawasiliano kwa ukaribu baina ya wanafunzi na walimu.

Sherehe hiyo ya uzinduzi wa tovuti hiyo ya www.shuledirect.co.tz ilifanyika katika hoteli ya kimataifa ya Serena, jijini Dar-es-Slaam, na kushuhudiwa na mgeni rasmi ambaye alikuwa naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Philip Mulugo.

Faraja akiwa na mumewe Lazaro Nyalandu
Faraja akiwa na mumewe Lazaro Nyalandu
Waziri Mulugo akiizindua website hiyo
Waziri Mulugo akiizindua website hiyo

IMG_8960

Website ya shuledirect ikiwa imefunguliwa
Website ya shuledirect ikiwa imefunguliwa
Manaibu waziri, Mulugo na Nyalandu
Manaibu waziri, Mulugo na Nyalandu

IMG_8975

IMG_8970

IMG_8969

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza

IMG_8965

Faraja aliwaomba wale wote wenye mawazo ya kuchangia ili kuboresha tovuti hiyo kuwasiliana moja kwa moja kwa kupitia namba 0752 904 152 au kwa barua pepe [email protected], skype ID ya @ShuleDirect, Twitter @ShuleDirect, Facebook ya ShuleDirect na Google + @ShuleDirect.

IMG_8978

Wanafunzi wakimshuhudia waziri Mulugo akifungua website hiyo
Wanafunzi wakimshuhudia waziri Mulugo akifungua website hiyo

IMG_8984

IMG_8985

IMG_8986

Luca Neghesti na Catherine Barretto
Luca Neghesti na Catherine Barretto
Milard Ayo na Fatma Almas Nyangasa
Milard Ayo na Fatma Almas Nyangasa
Faraja Kotta akitoa maelezo kuhusiana na website hiyo
Faraja Kotta akitoa maelezo kuhusiana na website hiyo

IMG_8991

IMG_8992

IMG_8993

IMG_8994

Nancy Sumari na Faraja Kotta wakijadiliana jambo
Nancy Sumari na Faraja Kotta wakijadiliana jambo

IMG_9001

IMG_9005

IMG_9006

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents