Burudani

Familia ya Bob Marley yaanzisha brand ya kwanza ya bangi

Familia ya hayati Bob Marley ikishirikiana na kampuni moja ya Seattle, imeanzisha brand ya kwanza ya dunia ya bangi chini ya jina lake, mmea ambao msanii huyo wa reggae alipenda kuuita “the herb”.

22_020411marley_76_1

Kampuni hiyo, Privateer Holdings imepata kibali kutoka kwa warithi wa Marley kuzalisha bidhaa za bangi zitakazokuwa chini ya jina ‘Marley Natural’.

Miongoni mwa bidhaa hizo ni pamoja na lotion na mafuta yenye harufu ya mmea huo.

“Baba yangu angekuwa na furaha sana kuona watu wanaelewa nguvu ya uponyaji ya mmea huo,” alisema mtoto wa kwanza wa kike wa Bob, Cedella Marley anayeishi Miami.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents