Burudani

Faiza Ally: Kama mwanamke ninatamani sana kuolewa

Msanii wa filamu na mwanamitindo mwenye vituko, Faiza Ally amesema angependa kuolewa lakini wanaume wengi si waoaji.

11261300_962325537164831_1480370658_n
Faiza na mwanae Sasha

Faiza ambaye amezaa mtoto mmoja na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi ameiambia Channel Ten kuwa kila mwanamke anatamani aolewe na awe na familia.

“Wachumba hakuna siku hizi wa kuoa,” alisema Faiza. “Hakuna mwanaume wa kuoa. Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na kuwa na familia, mimi mmoja wapo na ndoto ya kuolewa lakini wanaume wenyewe wamekuwa magumashi. Siamini kama kuna mwanamke hataki kuolewa.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents