Habari
Fainali ya mashindano ya B-Ball Kitaa kufanyika June 16
Fainali ya shindano la mpira wa kikapu la B-Ball Kitaa zitafanyika Jumapili hii kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Fainali zitaanza kuanzia saa saba mchana.