Habari
Fahamu jinsi ya kushiriki #AirtelTRACEStar
Piga 0901002233 imba wimbo uupendao ushinde mchongo wa maana,dili la kurekodi studio kubwa ya Universal Music nchini Marekani na kula bata na Akon jijini New York! #AirtelTRACEStar Piga, Imba na Ushinde.