Technology

Facebook yatimiza miaka 10, ilianzishwa Feb 4, 2004

Jumanne hii, February 4, Facebook inatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake.

htc-opera-ul-facebook-phone-0

Kampuni hiyo ya mtandao wa kijamii iliingiza mapato ya zaidi ya dola bilioni 2.5 katika robo tatu ya mwaka 2013.

Facebook ilianzishwa, tarehe 4, February 2004 na Mark Zuckerberg pamoja na wenzake waliokuwa wakisoma pamoja kwenye chuo kikuu cha Harvard ambao ni pamoja na Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz na Chris Hughes.

Hadi September mwaka jana, Facebook ilikuwa na watumiaji zaidi ya bilioni 1.2 duniani kote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents