BurudaniWema Sepetu

Exclusive Video: Wema Sepetu aelezea ukweli kuhusu hatma ya urafiki wake na Kajala

Ni kweli Wema Sepetu na Kajala Masanja wamepatana tena? Hilo ni swali ambalo tulimuuliza Wema tulipokuwa Durban, Afrika Kusini.

“The whole issue ya K na mimi ilikuwa kind complicated,” alisema Wema. “Nilikuwa sitaki kabisa kuiongelea but I think things are okay now na mwisho wa siku katika maisha kunakugombana, kupatana and haya ni maisha tunakufa. Uoga kidogo uliniingia baada ya kuexperience vifo vitatu kwa mpigo kwenye bongo movie, amekufa kwanza Adam, akafa sijui Rachel, amekufa George Tyson, I was like ‘dah kumbe kuna kufa!’Watu walikuwa wameshajisahau kwamba kuna kufa, kwahiyo kufa kupo maybe leo kafa Adam kesho naweza nikifa mimi. And wanavyosema kwamba mtu ukifa una kinyongo na mtu huwezi kuona pepo I wouldnt like not to see milango ya pepo. Kwahiyo nikaona let me just make peace na kila mtu ambaye nilikuwa na kinyongo naye, it’s not a good thing and tumemake peace kwasababu we will all die mwisho wa siku, so we are cool.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents