Burudani
Exclusive Video: Shaa azungumzia msiba wa marehemu mama yake, na kuhusu ujio wake mpya
Muimbaji wa zamani wa kundi la Wakilisha, Sarah Kaisi aka Shaa amesema kumpoteza mama yake mzazi kumemwacha katika wakati mgumu kwakuwa alikuwa akimchukulia mama yake kama role model na ndiye aliyemjenga kuwa Shaa mwanamuziki.
“Kutokana na kumuuguza muda mrefu, kidogo imenifariji kwamba amepumzika lakini bado inauma kwamba natamani bado angekuwepo na mimi lakini inshallah ni mipango ya Mungu, amenitangulia tu wote tunaenda huko huko,” amesema Shaa.