Bongo5 MakalaVideos
Video: Makala kuhusu marehemu Steven Kanumba
April 7, kifo cha aliyekuwa muigizaji maarufu na kipenzi cha wengi, Steven Kanumba, kinatimiza miaka miwili. Hii ni makala iliyoandaliwa na Bongo5 exclusively kwa wiki hii ya maadhimisho ya kifo chake.
http://www.youtube.com/watch?v=M53tSpaP1aw&feature=youtu.be