Burudani

Exclusive Pics: Damu, Minyororo na Vinyago – Video ya ‘Mr Nay’ inatisha

Weka mbali na watoto, video ya ‘Mr Nay’ inatisha. Nay wa Mitego anayefahamika kwa kufanya mambo nje ya Kumi na Nane kama Weusi, yupo nchini Kenya ambako amekamilisha kushoot video ya ngoma yake mpya na muongozaji Kelvin Bosco Jr.

IMG-20140725-WA0027
Mfalme Nay?

Katika picha ambazo Bongo5 imezipata exclusively kutoka Kenya, rapper huyo anaonekana kushoot video kwenye chumba kinachoonekana kama pamefanyika mauaji ya kimbari huku yeye akiwa amekaa kwenye kiti cha enzi kilichotapakaa damu. Kunaonekana jacuzzi lililojaa dimbwi la damu na wasichana waliofungwa minyororo kama watumwa wakicheza mbele yake.

IMG-20140725-WA0005
Too cruel for TV?

IMG-20140725-WA0009
Blood and Halloween costumes

IMG-20140725-WA0002

IMG-20140725-WA0026
Bosco Jr akiwa kazini

IMG-20140725-WA0004
Show me what you got girl

IMG-20140725-WA0025
Nay na waigizaji kwenye video hiyo wakionekana kusikiliza kwa makini maelekezo ya director

Akiwa Kenya, Nay wa Mitego ameimbia Bongo5 kuwa kuna uwezekano wa kufanya pia kolabo na Jaguar au DNA.

“Kenya nimekuja kushoot video yangu mpya Mr Nay chini ya director Kelvin Bosco Jnr na nimeshashoot nimemaliza. Kwahiyo sasa hivi ninavutavuta tu kwasababu nimekutana na watu wengi kwahiyo lolote linaweza kutokea,” Nay ameiambia Bongo5.

IMG-20140725-WA0024
Stylist akiwa kazini kuhakikisha muonekano wa Nay unakuwa bomba

Tupo kwenye mipango ya kolabo panapo majaliwa kama sio leo, kesho tunaweza tukaingia studio kufanya kitu, lakini nafikiri mpaka baadaye tukionana nafikiri ndo tutapanga hiyo mipango zaidi kwa sababu tangu jana tupo pamoja tunapeana kampani kwenye location,jioni tunaenda studio so sijajua nini kitatokea. Kuna watu wawili kati ya Jaguar au DNA tunaweza tukafanya kitu,” amesema.

IMG-20140725-WA0023
Nay akirap huku models walioshikiliwa utumwa wakicheza

IMG-20140725-WA0022
Jacuzzi la damu: Model akichezea damu kwenye set ya video hiyo

IMG-20140725-WA0021
Shika damu hizo: Models wakiwajibika

IMG-20140725-WA0020
Maelekezo ya director: Sasa hapa inabidi ukaze, onesha ubandidu zaidi

IMG-20140725-WA0019
King Nay: Niangalia vizuri machoni, unaona nini?

IMG-20140725-WA0018
Ubandidu Ubandiduni

IMG-20140725-WA0017
Red + White + Chains =?

IMG-20140725-WA0016

IMG-20140725-WA0015

IMG-20140725-WA0014

IMG-20140725-WA0013

IMG-20140725-WA0012

IMG-20140725-WA0011

IMG-20140725-WA0010

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents