Bongo5 Exclusives

Exclusive: Picha za Lina alivyowasili kutoka Marekani

She’s Back! Msanii wa kizazi kipya kutoka THT,Lina, jana amewasili kutoka Marekani na kupokelewa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake na msanii mwenzake, Nash.
Bongo5 ilikua airport kushuhudia ujio wa lina ambaye tangu amesafiri ameonekana kwa utofauti mkubwa kisanaa na hata kimavazi.

Tunategemea mengi kwa star huyu ila tunampa muda apumzike, alafu tutawaletea exclusive interview ya Lina akitupa mastori ya states na yaliyojiri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents