Technology

Exclusive: Mastaa, wanasiasa, radio, TV na makampuni/brands, Tanzania wenye likes nyingi Facebook – 2014

Jumanne ya February 4, Facebook imetimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Kampuni hiyo ya mtandao wa kijamii ilianzishwa, tarehe 4, February 2004 na Mark Zuckerberg pamoja na wenzake waliokuwa wakisoma pamoja kwenye chuo kikuu cha Harvard ambao ni pamoja na Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz na Chris Hughes.

htc-opera-ul-facebook-phone-0

Hadi September mwaka jana, Facebook ilikuwa na watumiaji zaidi ya bilioni 1.2 duniani kote.

Kwa Tanzania, Facebook bado ni mtandao maarufu zaidi wa kijamii na watu mbalimbali hususan mastaa, wanasiana wamekuwa wakiutumia kuwasiliana na mashabiki/wafuasi wao. Makampuni pia yamekuwa yakiitumia Facebook kama njia muhimu ya mawasialiano na wateja wao. Hii ni orodha ya Mastaa, wanasiana, radio, TV na makampuni/brands, Tanzania na kurasa mbalimbali zenye likes nyingi zaidi Facebook, kwa mujibu wa data zilizokusanywa Alhamis ya February 6.

Vyombo vya habari – TV

East Africa TV -211,687
ITV – 128,068
Star TV – 17,382
Clouds TV – 10,297

Vyombo vya habari – Radio

East Africa Radio – 84,796
Radio One – 83,850
Clouds FM – 44,940
Capital Radio – 38,396
Times FM – 26,728
Magic FM -9,977
Choice FM – 6,120
Ebony FM Radio – 4,443
Coconut FM 88.9 – 4,143

Vyombo vya habari – Magazeti/Majarida

Habari Leo – 113,642
Mwanaspoti – 104,330
Mwananchi Newspaper – 74,846
Daily News – 70,700
Baabkubwa Magazine – 50,885
The Citizen – 48,246

Vyombo vya habari – Website/Blogs

Jamii Forums – 473,485
Bongo Movies – 164,049
Udaku Special Blog – 123,227
Bongo5 – 109,073
BongoClan – 58,907
Dar24 – 51,755
Dj Choka – 44,069
Hassbaby (Mapacha) -17,411
Global Publishers – 14,170

Mastaa wa filamu/muziki/michezo/comedy

Lady Jaydee – 228,380
Masanja Mkandamizaji – 188,940
Diamond Platnumz – 152,561
Joti – 141,074
Fid Q – 93,699
Rita Paulsen – 80,820
Hasheem Thabeet – 78,191
Mzee Majuto – 72,941
Wema Sepetu – 58,158
Mwana FA – 52,544
Profesa Jay – 50,878
Nikki Mbishi – 43,634
Shaa – 43,047
Master J – 36,403
Mzungu Kichaa – 31,278
Joh Makini – 28,667
Ben Pol – 24,567
Afande Sele – 20,484
Vanessa Khausa Mdee – 14,556

Watangazaji

Millard Ayo – 160,044
Masoud Kipanya – 100,097
Dj Fetty – 92,136
Sam Misago – 90,841
Jokate Mwegelo – 86,937
B12 – 55,295
Diva Loveness Love – 42,361
Joyce Kiria -34,482
Gossip Cop Soudy Brown -30,972
Don Chibo – 25,669

Makampuni/ brands

Tigo Tanzania -317,446
Vodacom Tanzania -258,784
Airtel Tanzania -158,611
Kilimanjaro Premium Lager -78,161
Castle Lite Tanzania – 64,979

Wanasiasa

January Makamba – 77,576
Dr. Willibrord Slaa – 61,429
Edward Lowassa – 25,874

Vipindi vya TV/Radio

Epiq Bongo Star Search – 91,643
Siri ya Mtungi – 90,220
Mkasi TV – 53,556
Orijino Komedi – 42,367
Rfa bonanza – 7,113
Kabumbu Show – 6,069

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents