Burudani

Exclusive: Mambo 3 usiyoyajua kuhusu Avril (Video)

Muimbaji wa Kenya, Avril amekuja nchini kuungana na Ben Pol katika ziara ya kuutambulisha wimbo wao ‘Ningefanyaje.’ Pamoja na ziara hiyo, Avril ameshoot video ya wimbo aliomshirikisha AY inayoongozwa na Hanscana. Haya ni mambo matatu usiyoyajua kuhusu msanii huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents