Bongo5 ExclusivesDiamond Platnumz

Exclusive: Diamond Platnumz asign mkataba na Meneja Mpya!


Msanii anayetisha katika anga za muziki, Diamond Platnumz, amesign mkataba na kampuni ya I View Studios kwa ajili ya kumsimamia msanii huyu kimuziki na kwa shughuli Zake kibao za kutega uchumi.

Cheki picha Diamond na mkuu wa kampuni ya i-view media, Raqey Mohammed, ambaye anasifika na kujulikana zaidi Kama professional phptographer, wakisaini kuashiria kuanza kazi pamoja rasmi.

So it’s official! Diamond Platnumz is under i-view media management team!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents