Burudani
Exclusive: Chege atarajia kwenda Finland kufanya ngoma na Mika Mwamba (Video)
Chege Chigunda aNataka kurudisha mizuka ya hit single yake ‘TWENZETU’ kwa kupanga kwenda nchini Finland kumfuata producer wa ngoma hiyo, Mika Mwamba.
“Mimi nimefanya kazi nyingi sana na Mika Mwamba, nafikiri track iliyonitambulisha ni Twenzetu, so nimekumbuka feeling za Mika Mwamba, kwahiyo nikienda Ulaya nitahakikisha nafika Finland kwenda kufanya naye track nyingine,” ameiambia Bongo5.