Videos

Exclusive Audio: Uchambuzi wa video na wimbo mpya wa Jokate na Lucci ‘Kaka Dada’

Kaka Dada ni wimbo unaohusu watoto wawili,wakiume na wakike waliokua pamoja,wakawa kama kaka na dada. Walivyoendelea kukua ukaribu wao ukazidi. Kwenye ngoma hii,Jokate ana boyfriend ambae hamuelewi na Lucci nae ana mademu kibao na hiyo swala humfanya Jokate awe na wivu. Kumbe muda wote, wao wawili wanapendana na kutamaniana. Sikiliza uchambuzi wa kina kuhusu video na wimbo huo hapa.

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/106991913″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents