Diamond Platnumz

Exclusive Audio: Diamond akirap kwenye beat ya ‘Show Me’ (Kid Ink f/ Chris Brown)

Kabla ya kutoka na ‘Kamwambie’ na kisha kufuata na hits nyingi mfululizo, Diamond alikuwa rapper. Na katika kuthibitisha kuwa bado anaweza kuchana, hitmaker huyo ameitumia beat ya wimbo ‘Show Me’ wa Kid Ink f/ Chris Brown kwenye kipindi cha The Hitlist cha Choice FM na kuwaacha watangazaji wa show hiyo mdomo wazi.

10561129_676878309054602_472784406_n

Msikilize mwenyewe hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents